Exodus 6:25


25 aEleazari mwana wa Haruni akamwoa mmoja wa binti za Putieli, naye akamzalia Finehasi.

Hawa walikuwa ndio wakuu wa jamaa za Walawi, ukoo kwa ukoo.

Copyright information for SwhKC